BONYEZA HAPA CHINI KUSIKILIZA LIVE

Wednesday, May 25, 2016

WATUMISHI WA OFISI NDOGO YA MAKAO MAKUU YA CCM WAZUNGUMZA NA LUHWAVI LEO, LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM.



 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akizungumza na watumishi wa CCM, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Kaimu Mkuu wa Idara ya Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa ambaye pia ni Mkumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Dk. Pindi Chana na Kulia ni Kaimu Mkuu wa Utawala Mwajuma Nyamka
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akizungumza na watumishi wa CCM, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, leo

 
Wafanyakazi wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi alipozungumza nao Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, leo.

No comments:

Post a Comment