"Marehemu Sister Gella Sambula, amefariki Dunia leo huko Mbeya alikokuwa amekwenda likizo baada ya kuteleza na kuanguka hakuweza kuamka tena. Alikuwa ni rafiki yangu na inafact alikuwa jirani yangu kwenye Jengo la NHC Bora Chang'ombe, kikazi alikuwa ni Senior Mwanasheria wa Wizara ya Ardhi Makao Makuu. Mungu amuweke pema peponi! Amen!" - le Mutuz Nation


No comments:
Post a Comment