Diamond ambae mpaka sasa ndie msanii wenye tuzo nyingi za kimataifa nchini,alipost ujumbe kupitia ukurasa account yake ya twitter,ujumbe ambao moja kwa moja ni dongo kwa wapinzani wake hasa wale waliofurahia yeye kukosa tuzo kwenye kipengele cha ‘Best International Act:Africa’,tuzo iliyonyakuliwa na DJ,Black Coffee wa Afrika Kusini,ambapo katika kipengele hicho mbali na Black Coffe,wasanii wengine kutoka Afrika waliokua nominated ni pamoja na
Cassper Nyovest (South Africa),Mzvee (Ghana),Serge Beynaud (Cote D’ivoire), Wizkid(Nigeria) na Yemi Alade (Nigeria).
Cassper Nyovest (South Africa),Mzvee (Ghana),Serge Beynaud (Cote D’ivoire), Wizkid(Nigeria) na Yemi Alade (Nigeria).
“Haya ongeeni vizuri na waganga wenu, baada ya siku nne naachia mashine nyingine,” aliandika Diamond.
Hata hivyo neno ‘mashine nyingine’ linamanisha ujio wa kazi yake mpya aliyowashirikisha member wa kundi la P-Squre,nyimbo ambayo bado haijafahamika ataiachia lini.



No comments:
Post a Comment