Justin Bieber Ameteguka mguu wake wa kushoto akiwa jukwaani huko Cincinnati Ijumaa usiku,Akiwa jukwaani akicheza na Ma Dansa wake katika moja ya step,alionekana ghafla yuko chini na akilia kutokana na maumivu makali,mara baada ya kufanyiwa uchunguzi ikagundulika alikuwa ameteguka
Kwa Mujibu wa Tmz amesema ataendelea nkutumbuiza katika show zake zote zilizopangwa ila kucheza hatoweza mpaka atakapo pona mguu wake.

No comments:
Post a Comment