Katika dhifa ya jioni iliyoandaliwa kwa heshma ya wanawake bi Wanjiru Waithaka Waweru, ambaye ni mhandisi/Msanifu majengo ambaye amegusa maisha ya wengi kwa njia yake ya kipekee ya ubunifu wake unaozingatia maslahi ya watoto.
Shirika
lake la FunKidz, lilitajwa kama moja ya kupigiwa mfano na kuigwa kote duniani.
Funkidz
ilikuwa moja kati ya mashirika yanayongozwa na wanawake 10,000 kutoka Afrika
Mashariki, mataifa ya Mashariki ya Kati na Kaskazini mwa Afrika yanayotambuliwa
na Goldman Sachswhich kwa mchango wao.
Japo
Bi Obama alikuwa ni mifano mingi tu ya kusimulia faida ya mikopo kwa wanawake
inayotolewa na Goldman Sachs chini ya mpango maalum wa ''10000 Women'' bi Obama
alichagua kusimulia kisa cha Wanjiru Waweru ambaye ubunifu wake wa kuunda
bidhaa zinazozingatia hadhi ya mtoto mwafrika ni wa kuigwa.
Shirika lake la FunKidz, lilitajwa kama moja ya kupigiwa mfano
''Ciru
anatokea Kenya,,,kwa hivyo yeye ni kama familia kwangu''
Yeye
ni mbunifu wa bidhaa za watoto zenye nembo ya Funkidz''
''Najua
kuwa alikuwa na matatizo mengi mno kupata mtaji wa biashara yake lakini bidhaa
zake ziliwavutia wakenya wengi mbali na kina mama kutoka kote barani Afrika ''
alisema bi Obama.



No comments:
Post a Comment