BONYEZA HAPA CHINI KUSIKILIZA LIVE

Thursday, May 26, 2016

MUGABE: NITAONDOKA MADARAKANI ENDAPO WATU WA ZIMBABWE WATATAKA NIFANYE HIVYO





Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amesema kuwa
yeye sio Mmarekani wala Muingereza wakati akiwahutubia karibu watu 50,000, wafuasi wake kwenye mkutano uliofanyika kwenye mji mkuu Harare kwa heshima yake.


Amesema kuwa yeye anawahudumia watu wa Zimbabwe na kuwa ataondoka tu ikiwa watu wangetaka afanye hivyo. Hata hivyo amesema kuwa haondoki na haendi popote.

No comments:

Post a Comment